Ufafanuzi msingi wa mambo katika Kiswahili

: mambo1mambo2

mambo1

nomino

  • 1

    mashauri, matendo.

    habari

Matamshi

mambo

/mambÉ”/

Ufafanuzi msingi wa mambo katika Kiswahili

: mambo1mambo2

mambo2

nomino

  • 1

    kijiti, kibao au kipande cha chuma kipigiliwacho ardhini kuweka alama maalumu.

    kigingi

Matamshi

mambo

/mambÉ”/