Ufafanuzi wa mangili katika Kiswahili

mangili

nominoPlural mangili

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    mti unaotokeza katika omo ya chombo ambao hutobolewa ili kutia kamba ya nanga.

Matamshi

mangili

/mangili/