Ufafanuzi wa maongezi katika Kiswahili

maongezi

nominoPlural maongezi

  • 1

    mambo yanayozungumzwa na watu, agh. ili kupitisha wakati.

    mazungumzo, gumzo

Matamshi

maongezi

/maɔngɛzi/