Ufafanuzi msingi wa mapepe katika Kiswahili

: mapepe1mapepe2

mapepe1

nomino

  • 1

    hali ya kutokuwa na makini ya kufanya jambo.

    machachari, macheche

  • 2

    mtu asiyekuwa na mawazo ya kutulia.

Matamshi

mapepe

/mapɛpɛ/

Ufafanuzi msingi wa mapepe katika Kiswahili

: mapepe1mapepe2

mapepe2

nomino

Matamshi

mapepe

/mapɛpɛ/