Ufafanuzi wa mapeto katika Kiswahili

mapeto

nominoPlural mapeto

  • 1

    makapi na takataka zilizopetwa kutoka kwenye nafaka.

Matamshi

mapeto

/mapɛtɔ/