Ufafanuzi wa mapochopocho katika Kiswahili

mapochopocho

nominoPlural mapochopocho

  • 1

    vyakula vya aina mbalimbali vilivyopikwa vizuri.

Matamshi

mapochopocho

/mapɔt∫ɔpɔt∫ɔ/