Ufafanuzi wa mapokezi katika Kiswahili

mapokezi

nominoPlural mapokezi

  • 1

    shughuli mbalimbali zifanywazo wakati wa kuwapokea wageni na kuwaelekeza mahali pa kwenda.

    mlahaka

  • 2

    ofisi katika idara, shirika au wizara inayopokea wageni wake.

    maulizo

Matamshi

mapokezi

/mapɔkɛzi/