Ufafanuzi wa masalaale! katika Kiswahili

masalaale!

kiingizi

  • 1

    tamko la kuonyesha mshangao.

    ‘Do masalaale!, Lo masalaale!’

Asili

Kar

Matamshi

masalaale!

/masala:lɛ/