Ufafanuzi wa mashapo katika Kiswahili

mashapo

nominoPlural mashapo

 • 1

  masalio ya kitu kilichokamuliwa au kuchemshwa.

  mashata, masimbi, mashudu, masira

 • 2

  mabaki ya taka au mchanga unaobaki kv.

 • 3

  chini ya mto baada ya mafuriko.

Matamshi

mashapo

/ma∫apɔ/