Ufafanuzi wa mashata katika Kiswahili

mashata

nominoPlural mashata

 • 1

  mabaki au taka za mafuta baada ya kuchemshwa.

  mashapo, mashudu

 • 2

  masazo mazito ya kitu chochote cha majimaji.

  masira

 • 3

  mchuzi mzito.

Asili

Kar

Matamshi

mashata

/ma∫ata/