Ufafanuzi wa mashindano katika Kiswahili

mashindano

nominoPlural mashindano

  • 1

    mapambano baina ya pande mbili au zaidi k.v. katika michezo, ngoma au maneno.

    ‘Leo kuna mashindano ya mbio’
    ubishani

Matamshi

mashindano

/ma∫indanɔ/