Ufafanuzi wa mashoto katika Kiswahili

mashoto

nominoPlural mashoto

  • 1

    mtu mwenye kutumia mkono au mguu wa kushoto zaidi katika shughuli zake.

Matamshi

mashoto

/ma∫ɔtɔ/