Ufafanuzi wa masira katika Kiswahili

masira

nominoPlural masira

  • 1

    mabaki mazito ya pombe kama vile pombe ya mbege, mvinyo au dengelua.

    mashata, mashapo, masimbi

Matamshi

masira

/masira/