Ufafanuzi wa matamanio katika Kiswahili

matamanio

nominoPlural matamanio

  • 1

    jambo ambalo mtu anatamani angekuwa nalo.

    ‘Haya ndiyo yaliyokuwa matamanio yangu’

Matamshi

matamanio

/matamanijɔ/