Ufafanuzi wa matbaa katika Kiswahili

matbaa

nomino

  • 1

    mitambo au kiwanda cha kupiga chapa na kutoa vitabu; kiwanda cha kupiga chapa.

Asili

Kar

Matamshi

matbaa

/matba:/