Ufafanuzi msingi wa mateka katika Kiswahili

: mateka1mateka2

mateka1

nominoPlural mateka

  • 1

    mtu aliyetekwa nyara, agh. vitani.

    asira

Matamshi

mateka

/matɛka/

Ufafanuzi msingi wa mateka katika Kiswahili

: mateka1mateka2

mateka2

nominoPlural mateka

  • 1

    mali au vitu vilivyotekwa vitani.

    ghanima

Matamshi

mateka

/matɛka/