Ufafanuzi wa matiko katika Kiswahili

matiko

nominoPlural matiko

  • 1

    ugumu wa madini baada ya kuchanganywa na madini mengine.

Matamshi

matiko

/matikɔ/