Ufafanuzi wa matunzo katika Kiswahili

matunzo

nominoPlural matunzo

  • 1

    utaratibu wa kumpatia mtu malezi na matumizi ya kujikimu.

Matamshi

matunzo

/matunzɔ/