Ufafanuzi wa Maulidi katika Kiswahili

Maulidi

nominoPlural Maulidi

Kidini
 • 1

  Kidini
  kisomo maalumu kinachoelezea kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w.) na sehemu ya maisha yake.

  burudai

 • 2

  Kidini
  mkusanyiko wa Waislamu ili kusoma kisomo hicho.

 • 3

  Kidini
  sherehe za kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (s.a.w.).

Asili

Kar

Matamshi

Maulidi

/mawulidi/