Ufafanuzi wa maumbile katika Kiswahili

maumbile

nomino

  • 1

    tabia au umbo la asili la kiumbe.

    hulka, jisimu

Matamshi

maumbile

/mawumbilÉ›/