Ufafanuzi wa mauwe katika Kiswahili

mauwe

nominoPlural mauwe

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    nakshi mfano wa ua inayochongwa kwenye omo ya chombo k.v. jahazi.

Matamshi

mauwe

/mawuwɛ/