Ufafanuzi wa mavani katika Kiswahili

mavani

nomino

  • 1

    nguo ambayo imechanika au kuraruka kwa sababu ya kuzeeka.

Matamshi

mavani

/mavani/