Ufafanuzi msingi wa mavi katika Kiswahili

: mavi1mavi2

mavi1

nominoPlural mavi

 • 1

  uchafu unaotokana na mabaki ya chakula tumboni.

  choo, kinyesi

 • 2

  uchafu unaotokana na madini k.v. chuma au dhahabu.

Matamshi

mavi

/mavi/

Ufafanuzi msingi wa mavi katika Kiswahili

: mavi1mavi2

mavi2

nominoPlural mavi

 • 1

  (ms) maneno yasiyo na maana.

  ‘Amekuja hapa akatoa mavi yake’
  upuuzi

Matamshi

mavi

/mavi/