Ufafanuzi wa mbacha katika Kiswahili

mbacha

nominoPlural mibacha

  • 1

    mkeka mkuukuu.

    methali ‘Usiache mbachao kwa msala upitao’

Matamshi

mbacha

/mbat∫a/