Ufafanuzi msingi wa mbali katika Kiswahili

: mbali1mbali2mbali3

mbali1

nominoPlural mbali

 • 1

  masafa marefu baina ya mahali na mahali; hatua au mwendo mrefu.

  umbali, baidi, kitalifa

Matamshi

mbali

/mbali/

Ufafanuzi msingi wa mbali katika Kiswahili

: mbali1mbali2mbali3

mbali2

kivumishi

 • 1

  -sio sawasawa.

  ‘Shati hili lina rangi mbali na lile’
  tofauti

Matamshi

mbali

/mbali/

Ufafanuzi msingi wa mbali katika Kiswahili

: mbali1mbali2mbali3

mbali3

kielezi

 • 1

  kwa kitambo kirefu.

  ‘Anakwenda mbali’

Matamshi

mbali

/mbali/