Ufafanuzi wa mbata katika Kiswahili

mbata

nomino

  • 1

    nazi iliyokaushwa mpaka nyama yake ya ndani ikabanduka kutoka kwenye kifuu.

    nguta

Matamshi

mbata

/mbata/