Ufafanuzi msingi wa mbega katika Kiswahili

: mbega1mbega2

mbega1

nominoPlural mbega

  • 1

    mnyama mfano wa kima mwenye manyoya meusi marefu na meupe begani.

Matamshi

mbega

/mbɛga/

Ufafanuzi msingi wa mbega katika Kiswahili

: mbega1mbega2

mbega2

nominoPlural mbega

  • 1

    manyoya ambayo baadhi ya wacheza ngoma hujifunga mabegani.

Matamshi

mbega

/mbɛga/