Ufafanuzi wa mbege katika Kiswahili

mbege

nomino

  • 1

    pombe itengenezwayo kwa kuchanganya togwa chachu ya ndizi mbivu na uji wa kimea cha ulezi.

Matamshi

mbege

/mbɛgɛ/