Ufafanuzi wa mbera katika Kiswahili

mbera

nomino

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    kipande cha mti au ubao kinachounga mrengu wa ngalawa au ubao wa mrengu.

Matamshi

mbera

/mbɛra/