Ufafanuzi wa mboji katika Kiswahili

mboji

nomino

  • 1

    udongo wenye rutuba ambao agh. hutokana na majani mengi yaliyooza.

    matanda

Matamshi

mboji

/mbɔʄi/