Ufafanuzi wa mbolea katika Kiswahili

mbolea

nominoPlural mbolea

  • 1

    taka zilizooza au chumvichumvi zinazotumiwa kuongeza rutuba ardhini.

    ‘Mbolea ya chumvichumvi’
    samadi

Matamshi

mbolea

/mbɔlɛja/