Ufafanuzi wa mbolezi katika Kiswahili

mbolezi

nominoPlural mbolezi

Fasihi
  • 1

    Fasihi
    wimbo unaoimbwa wakati wa mauti, agh kuwafaraji waliofiwa.

    tahalili

Matamshi

mbolezi

/mbɔlɛzi/