Ufafanuzi wa mbuba katika Kiswahili

mbuba

nomino

  • 1

    ugonjwa wa ngozi unaosababisha kufanya mitembo au vidonda nyayoni.

Matamshi

mbuba

/mbuba/