Ufafanuzi wa mbungo katika Kiswahili

mbungo

nominoPlural mibungo

  • 1

    mmea unaotambaa juu ya mimea mingine na matunda yake ni makubwa kama chungwa dogo.

Matamshi

mbungo

/m bungɔ/