Ufafanuzi msingi wa mbuni katika Kiswahili

: mbuni1mbuni2

mbuni1

nominoPlural mbuni, Plural mibuni

  • 1

    ndege mkubwa wa mbugani asiyeweza kuruka lakini anayekwenda kasi sana.

Matamshi

mbuni

/mbuni/

Ufafanuzi msingi wa mbuni katika Kiswahili

: mbuni1mbuni2

mbuni2

nominoPlural mbuni, Plural mibuni

  • 1

    mti wenye majani madogo yaliyochongoka nchani unaotoa vishada vya maua meupe, matunda yake ni madogo na yakiiva huwa mekundu na hutengenezwa kahawa.

    mkahawa

Matamshi

mbuni

/m buni/