Ufafanuzi wa mbura katika Kiswahili

mbura

nominoPlural mibura

  • 1

    mti wenye majani ya duara na maua ya manjano na matunda madogo ya kahawia yenye ganda gumu.

  • 2

    tunda la mti huo.

Matamshi

mbura

/m bura/