Ufafanuzi wa mchachato katika Kiswahili

mchachato

nomino

  • 1

    mwendo wa kunyatia; mwendo wa taratibu.

    nyatunyatu

Matamshi

mchachato

/mt∫at∫atɔ/