Ufafanuzi wa mchafuzi katika Kiswahili

mchafuzi

nominoPlural wachafuzi

  • 1

    mtu anayeleta matata, fujo au kutoelewana.

  • 2

    mtu anayechafua vitu au mambo.

Matamshi

mchafuzi

/mt∫afuzi/