Ufafanuzi wa mchanga katika Kiswahili

mchanga

nomino

  • 1

    chembe ndogo sana za mawe yaliyosagika au kupondeka, hususan unapatikana mtoni na baharini.

Matamshi

mchanga

/mtāˆ«anga/