Ufafanuzi wa mchanganyo katika Kiswahili

mchanganyo

nominoPlural michanganyo

  • 1

    tendo la kukusanya vitu mbalimbali na kuviweka pamoja.

  • 2

    tendo la kukoroga vitu pamoja.

Matamshi

mchanganyo

/mt∫angaɲɔ/