Ufafanuzi msingi wa mchango katika Kiswahili

: mchango1mchango2

mchango1

nominoPlural michango

  • 1

    vitu au fedha zilizotolewa na watu ili kufanya shughuli fulani k.v. ujenzi wa shule au barabara.

Matamshi

mchango

/mt∫angɔ/

Ufafanuzi msingi wa mchango katika Kiswahili

: mchango1mchango2

mchango2

nominoPlural michango

  • 1

    mdudu anayeishi katika tumbo la binadamu au mnyama na kusababisha maradhi.

    mnyoo

Matamshi

mchango

/mt∫angɔ/