Ufafanuzi wa mchinjaji katika Kiswahili

mchinjaji

nominoPlural wachinjaji

  • 1

    mtu ambaye kazi yake ni kuchinja wanyama; mtu yeyote anayechinja mnyama.

Matamshi

mchinjaji

/mt∫inʄaʄi/