Ufafanuzi wa mchongezi katika Kiswahili

mchongezi

nomino

  • 1

    mtu anayefitini mtu mwingine.

    mathulubu

Matamshi

mchongezi

/mt∫ɔngɛzi/