Ufafanuzi wa mchonyoto katika Kiswahili

mchonyoto

nominoPlural michonyoto

  • 1

    tendo la kumwagika kidogokidogo kutoka juu.

  • 2

    tendo la kuwashawasha kama kidonda kinapotiwa dawa.

Matamshi

mchonyoto

/mt∫ɔɲɔto/