Ufafanuzi wa mchopozi katika Kiswahili

mchopozi

nominoPlural wachopozi

  • 1

    mtu anayewachomolea watu vitu vyao, k.v. pesa, simu, n.k. ghafla.

Matamshi

mchopozi

/mt∫ɔpɔzi/