Ufafanuzi wa mchu katika Kiswahili

mchu

nominoPlural michu

  • 1

    mti unaoota pwani, hasa kwenye mikoko, na ambao ni mgumu sana na wenye majani membamba.

Matamshi

mchu

/mt∫u/