Ufafanuzi wa mchukuzi katika Kiswahili

mchukuzi

nominoPlural wachukuzi

  • 1

    mtu anayefanya kazi ya kubeba mizigo.

    hamali

Matamshi

mchukuzi

/mtāˆ«ukuzi/