Ufafanuzi wa mchumba katika Kiswahili

mchumba

nomino

  • 1

    mwanamume aliyepeleka posa au mwanamke aliyepelekewa posa na ikakubaliwa na wazazi.

Matamshi

mchumba

/mtāˆ«umba/