Ufafanuzi wa mchungwa katika Kiswahili

mchungwa

nominoPlural michungwa

  • 1

    mti wa jamii ya mlimau unaozaa matunda ya mviringo ambayo maganda yake huwa ya kijani yawapo mabichi na manjano yanapoiva.

Matamshi

mchungwa

/mt∫ungwa/