Ufafanuzi wa mdhalilishaji katika Kiswahili

mdhalilishaji

nominoPlural wadhalilishaji

  • 1

    mtu anayedharau mtu mwingine.

    mnyanyasaji, mwonevu

Asili

Kar

Matamshi

mdhalilishaji

/mðalili∫aʄi/